Tue, 19 Oct 2021
Chanzo: millardayo.com
Octoba 18,2021 aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefikishwa Mahakamani na wenzake sita wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchum ambapo video hii inamuonesha alivyoingia Mahakamani Arusha leo.