Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya atinga tena Mahakamani na jezi ya Yanga

SABAYA YANGA MAHAKAMANI Sabaya atinga tena Mahakamani na jezi ya Yanga

Mon, 4 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole sabaya na wenzake wanne wanaoshtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi wamewasili katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi ambapo kesi yao inatajwa tena.

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole sabaya na wenzake wanne wanaoshtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi wamewasili katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi ambapo kesi yao inatajwa tena. Sabaya amefika mahakamani hapo akiwa amevalia jezi ya klabu ya Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na Kombe la FA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live