Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu Uchumi lenye makosa matano kwa madai yakuchukua milioni 90 kutoka kwa mfanyabiashara ili wasimchukulie hatua kwa kosa la ukwepaji wa kodi.Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa hiyo unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.