Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya afikishwa mahakamani uhujumu uchumi

WhatsApp Image 2021 06 04 At 13.48.36.jpeg Sabaya afikishwa mahakamani uhujumu uchumi

Fri, 4 Jun 2021 Chanzo: ippmedia.com

Sabaya, na washtakiwa wenzake watano walifikishwa Mahakamani hapo, majira ya saa 1:10 mchana  akiwa na chini ya ulinzi wa maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Sabaya, na washtakiwa wenzake watano walifikishwa Mahakamani hapo, majira ya saa 1:10 mchana  akiwa na chini ya ulinzi wa maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Mashtaka yanayowakabili washtakiwa hao ni pamoja na uhujumu uchumi,kuongoza magenge ya kiuhalifu, kuomba na kushawishi kupewa rushwa na unyanganyi kwa kutumia silaha.

Chanzo: ippmedia.com