Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya afikishwa Mahakamni Moshi

Sabaya Mko.jpeg Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Hai

Tue, 7 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya leo Juni 7, 2022 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.

Lengai na wenzake wane wanakabiliwa na kosa la uhujumu uchumi, kuogoza genge la uhalifu, pamoja na kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Tazama video hapa (kwa hisani ya MwananchiDigital)

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live