Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya afika Mahakamani akiwa na jezi ya Yanga

SABAYA SABAYA YNGD Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

Fri, 24 Sep 2021 Chanzo: mwananchidigital

Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha kusikiliza kesi inayowakabili.

Sabaya na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Ijumaa Septemba 24, 2021 wakikabiliwa na mashtaka matano katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka 2021 kiwemo kosa la utakatishaji fedha Sh 90 milioni, akiwa kavalia jezi mpya ya timu ya Yanga.

Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo,Sylvester Nyegu,Jackson Macha na Nathan Msuya.

Chanzo: mwananchidigital