Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruge na Suzan Kiwanga mikononi mwa Polisi Kisutu

Catherine Ruge.jpeg Catherine Ruge, Katibu Mkuu Bawacha

Fri, 6 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chama cha Demokrasia na Mendeleo CHADEMA, kimethibitisha kukamatwa kwa Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa, Catherine Ruge , Mjumbe wa Kamati Kuu, Susan Kiwanga na viongozi wengine pamoja na wanachama 11 wa chama hicho nje ya mahakam ya Hakimu Mkazi Kisuti

Wanachama hao walifika Mahakamani hapo kwaajili ya kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho licha ya maarufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi iliyowataka kutokusanyika katika viunga vya Mahakama hiyo

Tangu kukamatwa kwa Mbowe, kumekuwa na taaarifa za kushikiliwa kwa wafuasi wa CHADEMA katika maeneo tofauti tofauti nchini ambao wamekuwa wakisisitiza kuachiwa kwa kiongozi huyu, huku wakiwa na ujumbe Mkuu unaosema "Mbowe sio Gaidi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live