Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Magufuli atoa chozi baada ya Mama kuangua kilio akifarijiwa kifo cha Mwanae (+video)

94acda95 5349 494a B144 10b2162379ee 660x400.jpeg Rais Magufuli atoa chozi baada ya Mama kuangua kilio akifarijiwa kifo cha Mwanae (+video)

Fri, 2 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na familia ya kijana Briton Wilfred Mollel (26) aliyeuawa kikatili tarehe 25 Agosti, 2020 baada ya kushambuliwa katika vurugu zilizotokea wakati wa urejeshaji wa fomu za kugombea udiwani kwa msimamizi wa uchaguzi wa Kata ya Kaloleni katika Jimbo la Tunduma Mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na familia ya kijana Briton Wilfred Mollel (26) aliyeuawa kikatili tarehe 25 Agosti, 2020 baada ya kushambuliwa katika vurugu zilizotokea wakati wa urejeshaji wa fomu za kugombea udiwani kwa msimamizi wa uchaguzi wa Kata ya Kaloleni katika Jimbo la Tunduma Mkoani Songwe. Rais Magufuli amekutana na Mama wa Marehemu aitwaye Roda Bryson Mwaisongole na Mjane wa Marehemu aitwaye Salome Philemon Mayao Mjini Tunduma ambapo amewapa pole na kutoa ubani wa shilingi Milioni 6.

Chanzo: millardayo.com