Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi yatoa taarifa ya ofisi za CHADEMA Arusha kudaiwa kuchomwa moto

Poliii22 660x400 Polisi yatoa taarifa ya ofisi za CHADEMA Arusha kudaiwa kuchomwa moto

Fri, 14 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema bado linaendelea na uchunguzi kuhusu kuchomwa moto ofisi za CHADEMA kanda ya kaskazini nakusema hadi sasa hakuna mtu anayeshikiliwa kuhusiana na tukio hilo

Kamanda wa polisi mkoani Arusha Salum Hamduni amewataka wanachi kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo ili kuwakamata watuhumiwa nakuwafikisha kwenye vyombo vya sheria

KAULI YA LEMA BAADA YA OFISI YA CHAMA KUDAIWA KUCHOMWA NA WASIOJULIKANA

Chanzo: millardayo.com