Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi yataja sababu ya watuhumiwa kutamba mtaani

Mamammamasejeo Polisi yataja sababu ya watuhumiwa kutamba mtaani

Fri, 25 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo, amewataka wananchi kujitokeza mahakamani kutoa ushahidi ili kuepukana na changamoto ya kesi nyingi kuharibika kutokana na ushahidi kukosekana, kitendo ambacho kinapelekea watuhumiwa wanaokamatwa kuendelea kutamba mtaani.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo, amewataka wananchi kujitokeza mahakamani kutoa ushahidi ili kuepukana na changamoto ya kesi nyingi kuharibika kutokana na ushahidi kukosekana, kitendo ambacho kinapelekea watuhumiwa wanaokamatwa kuendelea kutamba mtaani. Kauli hiyo ameitoa hii jana Februari 24, 2022, wakati akipokea kituo kidogo cha polisi Kisongo kilichojengwa na Taasisi ya Umoja wa Mataifa IRMCT Arusha, na kusema kwamba upo umuhimu wa watu kufika mahakamani pale wanapohitajika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live