Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi yadaka sita tuhuma za mauaji, kufukua makaburi

Mbaroni Kwa Mimba Polisi yadaka sita tuhuma za mauaji, kufukua makaburi

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida wakihusishwa na mauaji ya watu, ufukuaji wa makaburi na kuchukua viungo, baadhi ya vitu vya maiti katika maeneo tofauti wilayani Manyoni.

Imeelezwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, leo Machi 28, 2023 kuwa hatua hiyo imefuatia msako uliofanywa na Jeshi hilo, kati ya Machi 16 na 24 Mwaka huu.

“Msako ulifanyika kwenye maeneo tofauti ya Wilaya ya Manyoni na vijiji vya jirani vilivyopo Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora,” amesema Kamanda Mutabihirwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live