Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi warushiana risasi na majambazi ,wawili wauawa watatu wakimbia

Hamduni 660x400 Polisi warushiana risasi na majambazi ,wawili wauawa watatu wakimbia

Mon, 19 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la polisi mkoani Arusha limewaua majambazi wawili wakati wakijibishana  risasi katika eneo la Olorieni huku majambazi watatu wakikimbia

kamanda wa polisi mkoani Arusha Salum Hamduni amesema majambazi hao waliacha silaha mbili ambazo ni shot -gun pamoja na bastola yenye risasi nne

ANGALIA STYLE ZA WATU WA ARUSHA WANAVYOCHEZA NA BAISKELI “NAJUA AINA 30”

Chanzo: millardayo.com