Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wamshikilia Tundu Lissu Arusha

Lissu Picsss Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu

Sun, 10 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linamshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe: Tundu Lissu pamoja na wenzake watatu wa Chama hicho kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo ya halali na kuwazuia Askari Polisi kutekeleza majukumu yao.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linamshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe: Tundu Lissu pamoja na wenzake watatu wa Chama hicho kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo ya halali na kuwazuia Askari Polisi kutekeleza majukumu yao. Baada ya mahojiano hayo na ukamilishwaji wa taratibu zingine, hatua nyingine za kisheria zitafuata.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live