Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi walivyomkamata mwanamke akiwa na kiwanda cha kutengeneza pombe feki (+video)

Video Archive
Wed, 26 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina kwa tuhuma za utengenezaji wa pombe feki,Kamanda wa polisi mkoani Arusha Justine Masejo anaeleza jinsi walivyomkamata mtuhumiwa huyo.

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina kwa tuhuma za utengenezaji wa pombe feki,Kamanda wa polisi mkoani Arusha Justine Masejo anaeleza jinsi walivyomkamata mtuhumiwa huyo. “Tulifanya oparesheni maalumu nakumkamkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 31 akiwa ana simamia kiwanda feki,nitoe onyo kali zoezi hili ni endelevu”-RPC Masejo

Chanzo: millardayo.com