Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi wafichua siri mauaji ya Sinza

Yyyyyy 660x400 Polisi wafichua siri mauaji ya Sinza

Mon, 19 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, ACP Ramadhan Kingai ametoa taarifa kuhusu mauaji yaliyotokea Sinza baada ya mtu aliyefahamika kwa jina la Alex Koroso kumsababishia kifo Gift Mushi ambaye ni Fundi magari maeneo ya Sinza.

Chanzo: millardayo.com