Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi waeleza sababu za kuwepo kwenye kesi

Mulirooooooooo Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro.

Tue, 21 Sep 2021 Chanzo: eatv.tv

Jeshi la Polisi limesema kuwa kilichopelekea wao kuanza kupitisha watu mahakamani kwa majina kwenye kesi ya Mbowe hapo jana ni kwamba kwa kesi za namna hiyo kama uhujumu uchumi, polisi wanalo jukumu la kuwalinda watuhumiwa, wasikilizaji, upande wa mashtaka na upande wa utetezi.

Jeshi la Polisi limesema kuwa kilichopelekea wao kuanza kupitisha watu mahakamani kwa majina kwenye kesi ya Mbowe hapo jana ni kwamba kwa kesi za namna hiyo kama uhujumu uchumi, polisi wanalo jukumu la kuwalinda watuhumiwa, wasikilizaji, upande wa mashtaka na upande wa utetezi. Kauli hiyo imetolewa leo Septemba 21, 2021, na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio

Chanzo: eatv.tv