Sun, 8 May 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mei 7, 2022 ambapo Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar limewakamata vijana 31 wanaojihusisha na matukio ya kiuhalifu maarufu kama Panya Road.
Huyu hapa kijana ambae anayetoka kwenye kikundi cha Uhalifu Panya Road akieleza mbinu wanazozitumia kutekeleza uhalifu wao.
Tazama Video akieleza kwa undani matukio yao;
Chanzo: www.tanzaniaweb.live