Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Ulinzi waimarishwa Kesi ya Mbowe leo

Photo1645179247 2 660x400.jpeg Ulinzi waimarishwa Kesi ya Mbowe leo

Fri, 18 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi unatarajiwa kutolewa uamuzi iwapo kama Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wana kesi ya kujibu au la katika kesi ya ugaidi inayowakabili.

Jaji Joachim Tiganga ndiye anayetarajiwa kutoa uamuzi ambapo anasikiliza kesi hiyo.

Hatua ya uamuzi huo inatokana na Upande wa mashtaka kuieleza mahakama hiyo kuwa wamefunga ushahidi wa kesi hiyo kwa shahidi wa 13 kuhitimisha ushahidi wake.

Shahidi huyo wa 13 wa upande wa mashtaka ambaye ni Mkaguzi wa Polisi, kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Mkoa wa Kipolisi Temeke, Tumaini Swila amemaliza kutoa ushahidi baada ya kuhojiwa maswali ya dodoso na upande wa utetezi.







Chanzo: www.tanzaniaweb.live