Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Omari akamatwa kwa wizi wa pikipiki 32

Omari Mlopa Mn Omari akamatwa kwa wizi wa pikipiki 32

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kumkamata Omari Mlopa (28), mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32, zilizoibiwa na baadae kuzifanya zao kwa kukodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kumkamata Omari Mlopa (28), mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32, zilizoibiwa na baadae kuzifanya zao kwa kukodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limebaini kuwa watuhumiwa hao walibadilisha namba za usajili za pikipiki hizo na kuweka namba bandia ili zisitambulike na pikipiki 13 tayari zimetambuliwa na wamiliki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live