Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Nimefuatwa na mapanga, wakataka kunimwagia tindikali" Flora (+video

WhatsApp Image 2020 09 01 At 01.08.23 660x400.jpeg "Nimefuatwa na mapanga, wakataka kunimwagia tindikali" Flora (+video

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Wengi tunamfahamu Flora Lauwo kupitia Taasisi yake ya Nitetee na kazi zake kwenye jamii pengine kuna upande wake mwingine wa maisha hatukuwahi kuusikia mahali popote, Flora amekubali ku -share na sisi sehemu ya maisha yake na mikasa anayopitia.

Wengi tunamfahamu Flora Lauwo kupitia Taasisi yake ya Nitetee na kazi zake kwenye jamii pengine kuna upande wake mwingine wa maisha hatukuwahi kuusikia mahali popote, Flora amekubali ku -share na sisi sehemu ya maisha yake na mikasa anayopitia. Kwenye Exclusive interviewa na AyoTV amesema “Nimeumizwa sana wengine wanasema huyo ni mwizi, nimewahi kufuatwa na mapanga wakataka kunimwagia tindikikali, nilijikuta nje, mkiniwini tu maliza kazi” Flora

Chanzo: millardayo.com