Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Neno la Mwisho la Aliyeuawa kwa Risasi Sinza

Sinza?fit=1280%2C720&ssl=1 Neno la Mwisho la Aliyeuawa kwa Risasi Sinza

Mon, 19 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Neno la Mwisho la Aliyeuawa kwa Risasi Sinza July 19, 2021 by Global Publishers



Edga Kombe ambaye ni mdogo wa Marehemu Gift Mushi, analiyeuawa kwa kupigwa risasi Sinza mkoani Dar es Salaam juzi, Julai 17,2021 ameleezea neno la mwisho la kaka yake kabla ya umauti kumfika.

Kombe ambaye ni mdogo wa marehemu upande wa baba mdogo amesema marehemu kabla ya umauti alisema “ntakuzika na wewe unizike”.

Kombe amesema “ntamzika ndugu yangu kwa sababu alisema nimzike ninatimiza ahadi, hii yenyewe ni cheni yake nilimvua mochwari tulivyokuwa tunamsafisha.”

Tukio la mauaji lilitokea juzi Julai 17, majira ya saa kumi na moja jioni likimuhusisha kijana Alex Korosso ambaye alimpia risasi sita maeneo tofauti Gift Mushi kisha na yeye kujiua kwa kujipiga kwa risasi.

Share this:TweetWhatsApp Related

Chanzo: globalpublishers.co.tz