Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndama ahukumiwa kulipa dola 75,000

Ndama Ndama ahukumiwa kulipa dola 75,000

Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: ippmedia.com

Hukumu hiyo imetolewa leo, Jumatatu Agosti 2, 2021 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Godfrey Isaya baada ya washtakiwa hao kukiri mashtaka, kupitia majadiliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini ( DPP).

Hukumu hiyo imetolewa leo, Jumatatu Agosti 2, 2021 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Godfrey Isaya baada ya washtakiwa hao kukiri mashtaka, kupitia majadiliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini ( DPP). Washtakiwa hao wanadaiwa kujipatia dola za kimarekani 150, 000 kutoka kwa mlalamikaji huyo ambaye ni raia wa Botswana kwa madai kuwa wangemuuzia kilo 500 za dhahabu lakini hawakufanya hivyo.

Chanzo: ippmedia.com