Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee wa zaidi ya miaka 70 akutwa akilawiti mtoto

ULAWITI Mzee wa zaidi ya miaka 70 akutwa akilawiti mtoto

Fri, 23 Sep 2022 Chanzo: EATV

Mzee Jackson Lukondo mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa kichakani akimlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe mwenye umri wa miaka 14 na kisha kumtishia kuwa atamuua pindi atakaposema kama analawitiwa.

Mzee Jackson Lukondo mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa kichakani akimlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe mwenye umri wa miaka 14 na kisha kumtishia kuwa atamuua pindi atakaposema kama analawitiwa. Akizungumza na EATV mtoto huyo amesema mzee huyo amekuwa akimdanganya anamfundisha tohara inavyofanywa kisha anamuingilia kinyume na maumbile hadi mara hii alipokutwa kichakani na mashuhuda.

Chanzo: EATV