Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee wa miaka 72 ajiua kwa sumu "mkipata magumu fateni ushauri"

E1CGvdiWYAA9kj3 660x400 Mzee wa miaka 72 ajiua kwa sumu "mkipata magumu fateni ushauri"

Tue, 11 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Selemani Machele Msamati (72) amefariki wakati akitibiwa Songea, Ruvuma baada ya kunywa sumu ya kimatila ya kuulia wadudu shambani, RPC Simon Maigwa amesema bado sababu ya kujiua haijabainika lakini uchunguzi unaendelea.

Selemani Machele Msamati (72) amefariki wakati akitibiwa Songea, Ruvuma baada ya kunywa sumu ya kimatila ya kuulia wadudu shambani, RPC Simon Maigwa amesema bado sababu ya kujiua haijabainika lakini uchunguzi unaendelea. RPC Maigwa amesema “Wananchi msijichukulie maamuzi ya mnapopatwa na magumu, fateni ushauri na usaidizi kama wa Taasisi za kidini, Dawati la Jinsia au Ndugu na Jamaa wa karibu”

Chanzo: millardayo.com