Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwenyekiti wa kitongoji ajinyonga, afariki!

Simoni Maigwa RPC Kilimanjaro Mwenyekiti wa kitongoji ajinyonga, afariki!

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: Malunde

Geofrey Massawe (45), Mwenyekiti wa kitongoji Somanga mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya kufungia ng'ombe aliyoifunga juu ya mti wa mparachichi jirani na nyumbani kwake.

Geofrey Massawe (45), Mwenyekiti wa kitongoji Somanga mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya kufungia ng'ombe aliyoifunga juu ya mti wa mparachichi jirani na nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simoni Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo leo Alhamisi Novemba 3 ambapo amesema mwili wa Mwenyekiti huyo ulikutwa juu ya mti na kwamba wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini chanzo chake.

Chanzo: Malunde