Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamke ajiua kwa kutumia kitenge chumbani

Ajiua Kwa Kitenge Mwanamke ajiua kwa kutumia kitenge chumbani

Thu, 11 Aug 2022 Chanzo: EATV

Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa kujinyonga chumbani kwake kwa kutumia kipande cha kitenge alichokining'iniza juu ya kenchi.

Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa kujinyonga chumbani kwake kwa kutumia kipande cha kitenge alichokining'iniza juu ya kenchi. Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi Ali Makame Hamad, na kusema kwamba baada ya uchunguzi jeshi hilo lilibaini kwamba marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa akili.

Chanzo: EATV