Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwalimu akatwa mkono na mme wake Arusha kisa wivu wa mapenzi "anakaa dubai"

Mama Mkonoo222 660x400 Mwalimu akatwa mkono na mme wake Arusha kisa wivu wa mapenzi "anakaa dubai"

Wed, 30 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwalimu wa shule ya sekondari Kiding’a mkoani Arusha Veronica Kidemi  amekatwa na panga kwenye mkono wake nakutenganisha na kiganja cha mkono na mme wake kwa madai yakuwa na ugomvi wa kimapenzi

kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi kupitia kwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Salum Hamduni amekiri kumkamata mtuhumiwa huyo baada yakutorokea jijini Dar es salaam

MREMBO ALIYEKATWA MIGUU KWA WAKATI MMOJA ASIMAMA TENA,APATA MIGUU MINGINE

Chanzo: millardayo.com