Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwalimu afikishwa Mahakamani, kazi kafukuzwa kisa mitihani

Takukuruaa111 660x400 Mwalimu afikishwa Mahakamani, kazi kafukuzwa kisa mitihani

Thu, 4 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU), mkoani Manyara imemfikisha mahakamani, aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi Olkitikiti Wilayani Kiteto mkoani Manyara, Oscar Waluye kwa udanganyifu wa mtihani wa darasa la saba.

Taarifa ya TAKUKURU imeeleza kuwa Mwalimu Waluye, ambaye tayari ameshafukuzwa kazi, anatuhumiwa kufanya udanganyifu kwenye mitihani ya darasa la saba, Oktoba 2020.

UKWELI WA MAISHA YA CHIKUMBALAGA, MAMA YAKE, MISIBA, HARUSI ZOTE ZAKE, HELA ANAYOINGIZA

Chanzo: millardayo.com