Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mumeo akatafute kazi ingine" Mama amlilia Magufuli Mumewe kafukuzwa kazi (+video)

Maxresdefault 30 660x400 "Mumeo akatafute kazi ingine" Mama amlilia Magufuli Mumewe kafukuzwa kazi (+video)

Fri, 5 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amemshauri mwanamke aliyedai kuwa mume wake alikuwa ni askari magereza na alifukuzwa kazi baada ya kusingiziwa kwamba aliwapelekea wafungwa simu, watafute kazi nyingine si lazima mume wake awe askari magereza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amemshauri mwanamke aliyedai kuwa mume wake alikuwa ni askari magereza na alifukuzwa kazi baada ya kusingiziwa kwamba aliwapelekea wafungwa simu, watafute kazi nyingine si lazima mume wake awe askari magereza. “Magereza yetu tunatakiwa tujenge nidhamu sasa akifukuzwa si ukatafute shughuli nyingine huyo mume wako kwani lazima aliambiwa atakaa tu kwenye magereza na yeye amesingiziwa kosa la kupeleka simu nne kwa wafungwa”, JPM “Wewe mama mume wako alifukuzwa, mambo ya Jeshi yana sheria zake, muone Mkuu wa Magereza lakini mimi nitajua ukweli uko wapi wakati nafahamu kweli kuna Maaskari Magereza siyo waaminifu wanawapelekea simu wafungwa na wengine hadi gongo na bangi” JPM

Chanzo: millardayo.com