Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa miaka mitano abakwa, RPC asimulia

Maxresdefault 31 660x400.jpeg Mtoto wa miaka mitano abakwa, RPC asimulia

Tue, 27 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linandelea kumsaka mtu mmoja aitwaye Mushobozi Mpabanza kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mdogo wa miaka mitano kisha kutoroka,inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo ni baba mdogo wa mama mzazi wa mtoto aliyebakwa.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linandelea kumsaka mtu mmoja aitwaye Mushobozi Mpabanza kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mdogo wa miaka mitano kisha kutoroka,inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo ni baba mdogo wa mama mzazi wa mtoto aliyebakwa. Kaimu Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Kagera Maketi Msangi ameeleza kwa kina tukio lilivyokuwa.

Chanzo: millardayo.com