Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto aliyewahi kubakwa adaiwa kubakwa tena na baba yake

Operanews1670819770704 Mtoto aliyewahi kubakwa adaiwa kubakwa tena na baba yake

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi wilayani Babati mkoani Manyara, linamshikilia Elias Hando (30) mkazi wa Kijiji cha Tsaayo, Kata ya Arri wilayani humo kwa tuhuma za kumbaka mwanae wa kumzaa mwenye umri wa miaka 6.

Awali mtoto huyo alifanyiwa ukatili wa kubakwa na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ami Matle, ambaye alifungwa miaka 30 ambapo safari hii tena Baba yake mzazi amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka mwanae.

Polisi wameshikilia wanaendelea na uchunguzi wao wakimaliza watamfikisha mahakamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live