Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto akutwa kajinyonga kwa khanga

Kifo Kifo Mauiaji.png Mtoto akutwa kajinyonga kwa khanga

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto Loli Manjale mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa mtaa wa Kidinda wilayani Bariadi mkoani Simiyu, amekutwa amejinyonga kwa kutumia khanga wenye mti uliopo karibu na nyumba ambayo haijakamilika mtaani hapo.

Mtoto Loli Manjale mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa mtaa wa Kidinda wilayani Bariadi mkoani Simiyu, amekutwa amejinyonga kwa kutumia khanga wenye mti uliopo karibu na nyumba ambayo haijakamilika mtaani hapo. Tukio hilo limetokea leo Oktoba 31, 2023, majira ya saa 1:00 asubuhi na jeshi la polisi mkoani hapo linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo na mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali ya halmashauri ya mji wa Bariadi kwa ajili ya uchunguzi wa daktari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live