Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto akiri kubakwa na baba yake Mchungaji

Mah Mtoto akiri kubakwa na baba yake Mchungaji

Thu, 20 Oct 2022 Chanzo: Eatv

Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba yake huyo.

Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba yake huyo. Kesi hiyo ya ubakaji namba 79 ya mwaka 2022, ilifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza mnamo Oktoba 12, mwaka huu.  

Chanzo: Eatv