Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto abaka na kuua mtoto mwenzie wa miaka sita

Pingu Mkononi Edited 0 Mtoto ambaka Mtoto mwenzie

Thu, 9 Sep 2021 Chanzo: Jamii Forums

Jeshi la Polisi linamshikilia Hamisi Ibrahim (15) Mkazi wa Kadege kata ya Forest jijijni Mbeya ,akituhumiwa kumbaka na kumuua Mtoto mwenye umri wa miaka sita

Marehemu alikuwa Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza na mwili wake ulitelekezwa kwenye jengo la Nyumba jirani na nyumbani kwao, Kata ya Forest

Mtoto huyo alikuwa akiishi na Bibi yake na kabla ya Mwili wake kupatikana juzi alitoweka nyumbani kwa siku mbili

Chanzo: Jamii Forums