Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtendaji mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya kijana aliyeiba viatu

ACP Simon Maigwa ACP Simon Maigwa

Tue, 21 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, ACP Simon Maigwa amethibitisha kufariki kwa kijana aitwaye Braiton Anold mwenye miaka 17 mkazi wa Fuka wilayani Siha baada ya kupigwa na mtendaji wa kata ya Kirua Godlize Munisi kwa tuhuma za kuiba viatu.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, ACP Simon Maigwa amethibitisha kufariki kwa kijana aitwaye Braiton Anold mwenye miaka 17 mkazi wa Fuka wilayani Siha baada ya kupigwa na mtendaji wa kata ya Kirua Godlize Munisi kwa tuhuma za kuiba viatu. Aidha, Kamanda Maigwa amesema mtendaji huyo alishirikiana na migambo wa eneo hilo ambao wlifanya msako uliopelekea kukamatwa kwa kijana huyo ambapo katika mahojiano wamebaini nguvu zaidi ilitumika iliyopelekea kijana huyo kupata majeraha yaliyopelekea kifo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live