Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mshukiwa wa wizi aliyevalia mithili ya mwanamke akamatwa

Wezi  Ed.jpeg Mshukiwa wa wizi aliyevalia mithili ya mwanamke akamatwa

Tue, 29 Jun 2021 Chanzo: ippmedia.com

Peter Omweno Momanyi mwenye umri wa miaka 24 alikamatwa akiwa amevaa kama mwanamke pamoja na mwenzake John Muchiri Kimani mwenye umri wa miaka 25.

Washukiwa hao walikaidi agizo la Afisa mmoja wa polisi aliyewataka wasimame baada ya kumuangalia mmoja wao kwa karibu na kugundua kwamba hakuwa mwanamke.

Aligeuka nyuma na kuwaamuru wasimame lakini walikaidi maagizo na kutoka mbio .

Majambazi, hao hata hivyo hawakutarajia kuzidiwa kasi na afisa huyo wa polisi aliyefaulu kuwakimbiza hadi akawakamata .

Chanzo: ippmedia.com