Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrembo auawa kwa risasi kimakosa

Ashley Dale.jpeg Mrembo auawa kwa risasi kimakosa

Fri, 26 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ashley Dale; ni mrembo mwenye umri wa miaka 38 kutoka jijini Liverpool nchini Uingereza ambaye ameuawa kimakosa kwa kupigwa risasi na watu waliomfananisha na waliyekusudia kumuua.

Tukio hilo lilijiri Agosti 21, mwaka huu ambapo miaka saba iliyopita pia mdogo wake Ashley aliuawa kimakosa kimakosa kwa kufananishwa na aliyekusudiwa.

Baadaye waliomuua mdgo wake aliyejulikana kwa jina la Lewis (16) walihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 88.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live