Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mmarekani ahukumiwa jela Urusi

Brittney Griner Mmarekani ahukumiwa jela Urusi

Fri, 5 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani Brittney Griner (31) amehukumiwa kifungo cha miaka 9 kwenye jela nchini Urusi kwa makosa ya kukutwa na kusafirisha dawa za kulevya.

Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa hukumu hiyo "haikubaliki" na ameitaka Urusi kumuachia huru haraka.

Griner alikamatwa Februari 17 mwaka huu katika uwanja wa ndege jijini Moscow, baada ya polisi kusema walikuta makopo yaliyokuwa na bangi kwenye sanduku lake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live