Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mhudumu wa Baa Akamatwa kwa Mauaji Wakigombea Sh2,500

ULRICH MATEI SACP KAMANDA WA POLISI MBEYA?fit=640%2C480 Mhudumu wa Baa Akamatwa kwa Mauaji Wakigombea Sh2,500

Fri, 31 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia mhudumu wa baa Pendo Mwakifamba (21) kwa tuhuma za mauaji ya Hilda Mwambona (25) kwa kumkata na chupa sehemu mbalimbali eneo la tumboni.

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia mhudumu wa baa Pendo Mwakifamba (21) kwa tuhuma za mauaji ya Hilda Mwambona (25) kwa kumkata na chupa sehemu mbalimbali eneo la tumboni. Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Desemba 30, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya, Urlich Matei amesema tukio hilo limetokea jana wakati mtuhumiwa na marehemu wakigombea Sh2,500 ambayo ni chenji iliyoachwa na mteja aliyekuwa akipata kinywaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live