Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge: Sheria ya kifo iangaliwe upya

Dealth Penalty Hukumu.jpeg Mbunge: Sheria ya kifo iangaliwe upya

Mon, 29 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa viti Maalumu Shally Raymond ameishauri Serikali iangalie namna ya kubadilisha hukumu ya adhabu ya kifo kwa watuhumiwa wa mauaji ili wapewe nyingine kuliko kuendellea kutoa hukumu ambayo haitekelezeki.

Mbunge wa viti Maalumu Shally Raymond ameishauri Serikali iangalie namna ya kubadilisha hukumu ya adhabu ya kifo kwa watuhumiwa wa mauaji ili wapewe nyingine kuliko kuendellea kutoa hukumu ambayo haitekelezeki. Akichangia bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 bungeni jijini Dodoma amesema, katika miaka ya hivi karibuni hajawahi kusikia mtu amenyongwa hadi kufa baada ya kuhukumiwa adhabu ya kifo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live