Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbowe kafika Kisutu kwenye kesi ya Ugaidi

MBOWE12 Freeman Aikael Mbowe, Mwenyeketi wa CHADEMA

Fri, 6 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amefikishwa katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kwa ajili ya kusikiliza Kesi inayomkabili ya Ugaidi.

Kesi hiyo ilihairishwa jana kutokana na hitilafu ya kimtandao iliyojitokeza kwenye usikilizwaji, jambo ambalo liliiladhimu Mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkuu Thomas Simba kuisogeza hadi leo Agost 6 Mwaka huu.

Tayari Mawakili takribani 370 wamejitokeza kusimamia kesi ya kiongozi huyo wakiongozwa na Wakili Peter Kibatala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live