Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbowe afikishwa Mahakamani

Screenshot 2021 09 24 At 11.47.11 660x400.png Mbowe afikishwa Mahakamani

Fri, 24 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uhujumu kwa ajili ya kesi yao ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi kuendelea na ushahidi.

Shauri la Mbowe namba 16/2021 linasikilizwa mbele ya Jaji Mustafa Siyani ikiwa ni kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi.

Mbali na Mbowe, washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni Halfan Bwire, Hassan Adam Kasekwa na Mohammed Abdillah Lingwenya.

Chanzo: millardayo.com