Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mauaji ya mwanafunzi, mtuhimiwa atumia dakika tatu kusoma mistari ya Biblia

Mauaji ya mwanafunzi, mtuhimiwa atumia dakika tatu kusoma mistari ya Biblia

Wed, 6 Mar 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Bukoba. Mtuhumiwa wa kwanza mauaji ya mwanafunzi wa shule ya msingi Kibeta, Respicius Mutazangirwa ametumia dakika tatu kusoma mistari kadhaa kwenye Biblia kabla ya kuanza kusomwa hukumu ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi Sperius Eradius aliyekuwa darasa la tano.

Soma Zaidi: Kusuka au kunyoa leo kesi ya walimu walioshtakiwa kumuu mwanafunzi

Endelea kufuatilia tukio zima hapa



Chanzo: mwananchi.co.tz