Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashahidi:Mbowe adaiwa kutafuta Makomandoo wa JWTZ kumdhuru Sabaya

Video Archive
Tue, 24 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Agosti 23, 2021 ambapo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa na mashahidi kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliomba kutafutiwa Makomandoo Wanajeshi waliofukuzwa kazi au Wastaafu, ili awatumie katika kuwadhuru Viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya.

NI Agosti 23, 2021 ambapo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa na mashahidi kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliomba kutafutiwa Makomandoo Wanajeshi waliofukuzwa kazi au Wastaafu, ili awatumie katika kuwadhuru Viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya. Kufahamu kilichojiri Mahakamani hapo unaweza ukatazama hii video hapa ufahamu A-Z kile kilichojiri Mahakamani.

Chanzo: millardayo.com