Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marekani yakanusha Hushpuppi kuiba Tsh mil 926 akiwa Gerezani

Hushpuppi.jpeg Hushpuppi

Fri, 18 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marekani imekanusha taarifa kuwa raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu Hushpuppi, ametekeleza wizi wa $400,000 (TZS milioni 926) kwa njia ya mtandao akiwa gerezani.

Marekani imekanusha taarifa kuwa raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu Hushpuppi, ametekeleza wizi wa $400,000 (TZS milioni 926) kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Hushpuppi alikamatwa mwaka 2020 kwa tuhuma za wizi wa jumla ya TZS bilioni 55.6, na anashikiliwa nchini Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live