Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama na mwanae jela mwaka mmoja kwa kumzuia Karani wa Sensa kuwahesabu(+Video)

Sensa Jela (600 X 337) Mama na mwanae jela kwa kumzuia Karani wa Sensa kuwahesabu

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imewahukumu mama na mtoto kifungo cha mwaka mmoja jela kila mmoja kwa kosa la kumzuia Afisa wa Sensa, Evody Rwechungura kutekeleza majukumu yake ya Sensa.

Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Hadija Masala anasema watu hao wametenda kosa hilo kinyume na kifungu cha 43 kifungu kidogo cha 3 a na b2 cha Sharia ya Takwimu Sura ya 351 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2019.

Tazama Video ya Watuhumiwa hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Azam TV (@azamtvtz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live