Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malkia wa Tembo jela miaka 17

42642 Hukumupic Malkia wa Tembo jela miaka 17

Tue, 19 Feb 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka 17 jela washtakiwa watatu akiwemo raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu Malkia wa Tembo.

Kila mmoja atatumikia kifungo cha miaka 17 baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh13bilioni.

Mbali na Glan, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 21/2014  ni Salvius Matembo na Philemon Manase.

VIDEO: Hukumu kesi ya Malkia wa Tembo Februari 19

Hukumu hiyo umetolewa leo mchana Februari 19, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Huruma Shaidi baada ya kuwatia hatiani washtakiwa hao.

VIDEO: Mahakama yawakuta na hatia Malkia wa Tembo, wenzake

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi



Chanzo: mwananchi.co.tz