Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maiti kufukuliwa Gairo wanne wakamatwa, RPC "Wilaya ya ushirikina" (+video)

Video Archive
Wed, 26 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Watu wanne wa Kijiji cha Nguyami Kata Idibo Wilaya ya  Gairo mkoani  Morogoro wanaashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufukua kaburi la marehemu aliyefahamika  kwa jina la Rehema  Michel.

Watu wanne wa Kijiji cha Nguyami Kata Idibo Wilaya ya  Gairo mkoani  Morogoro wanaashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufukua kaburi la marehemu aliyefahamika  kwa jina la Rehema  Michel. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni  siku chache zimepita baada ya kuripotiwa kwa tukio la kufukuliwa kaburi la Marehemu huyo ambapo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Fortunatus Muslim amewataka wananchi kutoa ushirikino kwa Jeshi hilo ili kuwabaini  wahusika walioshiriki katika kitendo hicho.

Chanzo: millardayo.com