Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama yaruhusu Rugemarila kuleta hoja za kutaka aachiwe huru

97276 Ruge+pic Mahakama yaruhusu Rugemarila kuleta hoja za kutaka aachiwe huru

Thu, 27 Feb 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemruhusu mfanyabiashara James Rugemarila kuwasilisha hoja zake za kutaka aachiwe huru.

Rugemalira ambaye ni Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL na wenzake wawili, wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi katika mahakama hiyo.

Maombi hayo ameyawasilisha mshtakiwa huyo, leo Februari 27, 2020 wakati shauri hilo lilipoitwa mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi

Chanzo: mwananchi.co.tz