Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama yamrudishia kituo cha Mafuta mfanyabiashara alierushiana Risasi na mwenzake

Ghfghfghfghfg 660x400 Mahakama yamrudishia kituo cha Mafuta mfanyabiashara alierushiana Risasi na mwenzake

Thu, 17 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa amri kwa mahakama kuu kanda ya Arusha kusitisha ukazaji wa hukumu katika kesi ya ardhi namba 1 la mwaka 2017 ambapo walioshinda shauri hilo William Taitas na Peter Fridolin dhidi ya Philemon Molell waliomba Mahakama kutoa amri yakumuondoa Philemon Molel katika eneo lenye Mgogoro .

Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa amri kwa mahakama kuu kanda ya Arusha kusitisha ukazaji wa hukumu katika kesi ya ardhi namba 1 la mwaka 2017 ambapo walioshinda shauri hilo William Taitas na Peter Fridolin dhidi ya Philemon Molell waliomba Mahakama kutoa amri yakumuondoa Philemon Molel katika eneo lenye Mgogoro . Maombi hayo ambayo yamesikilizwa na Naibu msajili wa Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Arusha Ruth Massam ambapo amesema mahakama hiyo imefungwa mikono kuendelea kusikiliza maombi ya kukaza hukumu hiyo kutokana na kuwepo kwa amri kutoka Mahakama ya Rufani iliyozuia kuendelea kusikilizwa kwa maombi hayo.

Chanzo: millardayo.com